Nazani unajua kama wewe ni kijana alafu ukawa na kipara lazima utachekwa na kufanya usiwe huru na kichwa chako mbele ya jamii inayokuzunguka. Ila umeshawahi kujiuliza swali hili..
KIPARA KINASABABISHWA NA NINI..?
JIBU NI:-
* LISHE DUNI
*KUWA NA MAWAZO SANA, MFADHAIKO ,MSHTUKO WA MOYO KWA MUDA MREFU
*UKOSEFU WA VITAMINI B6*KURITHI ( KIJENETIKI)
TIBA YAKE SASA.
Chukua kitunguu maji kata kata ,vichovye kwenye asali na ukitumie kujisugua kwenye sehemu iliyoathirika, fanya hivyo mara 3 kwa siku.
No comments:
Post a Comment