SULUHISHO YA HII KITU..!
Najua unajua hii kitu ni nini ila hujui ndani ya hii kitu inaleta furaha gani katika ulimwengu huu wa dunia sana sana katika nguvu za kiume.Kama tunavyojua katika ndoa hakuna kitu raha kama watoto ila majanga pale ambapo amuna watoto ndani ya nyumba kwani inaleta chuki ambayo hata haitakiwi ndani ya nyumba na kusemwa vibaya na ndugu majirani.
Sasa kwa wale kaka zangu ,baba zangu lile tatizo la kutokuwa na nguvu za kiume leo mwisho aise nakupa dawa rahisi kabisa na wala usisumbuke kuangaila na kubugia madawa ambayo huyajui hata kidogo tafadhali...
1. ASALI YA NYUKI WADOGO(STINGLESS HONEY) PEKEAKE
- Hapa una kunywa vijiko 3 asubuhi ,mchana, jioni.
2.TANGAWIZI
-Hapa unaweza kuchukua tangawizi yenyewe na kuchemshia kwenye chai au unaweza kula yenyewe mbichi (asubuhi,mchana,jioni)
3. TANGAWIZI +HABAT SODA +ASALI +KITUNGUU SWAUMU
-Hapa unachukua vyote na kuvisaga na kuakikisha vinalainika vizuri na uwe unakunywa kutwa mara 3 kwa kijiko cha chai kwa muda wa wiki 1 utaona furaha inavyojipa ndani ya nyumba aise..
No comments:
Post a Comment