TUMIA ASALI KAMA CHAKULA NA DAWA PIA,
UKIJA KWENYE DAWA INATIBU MAMBO YAFUATAYO:-
1.DAWA YA KIKOHOZI
2.PUMU {ASTHMA}
3.BARIDI YA BISI
4.UGONJWA WA FIGO+ MAGONJWA YANAYO AMBATANA NA FIGO KAMA KUZIBA MKOJO, KUKOJOA KILA SAA.
5.ALIYE VUNJIKA MFUPA
6.KUPAKA VIDONDA VILIVYOSABABISHA KWA KUUNGUA KWA MOTO
7.KUTOPATA USINGIZI
8.VIDONDA VYA KOONI
9.UCHOVU
10.KIRUTUBISHO NYWELE {HAIR CONDITIONER}
11.UPUNGUFU WA DAMU {ANAEMIA}
12.MIFUPA LEGEVU {OSTEOPOROSIS}
13.USAHA KWENYE MACHO { CONJUNCTIVITIS}
14.KUKOJOA KITANDANI
15.KUZIBA PUA KUTOKANA NA MAFUA
16.VIDONDA VITOKANAVYO KWA MGONJWA KULALA KWA MUDA MREFU {BED SORES}
17.HELEMU {CHOLESTERAL}
18.MCHAFUKO WA TUMBO
19.MAFUA
20.UGONJWA WA MOYO
21.SHINIKIZO LA DAMU
.............ASALI NDO TIBA HALISI.........